Search a title or topic

Over 20 million podcasts, powered by 

Player FM logo

RFI Podcasts

show episodes
 
Artwork

1
Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly+
 
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
  continue reading
 
Artwork

1
Reportagem

RFI Brasil

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly+
 
Confira aqui as análises, entrevistas e repercussões de notícias que você pode ouvir e baixar. As reportagens +RFI propõem a cobertura de eventos importantes no mundo inteiro feita pelos repórteres e correspondentes da Rádio França Internacional.
  continue reading
 
Artwork

1
Wasanni

RFI Hausa

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly
 
A kowace Litinin da Juma'a a shirye-shiryen Safe da Dare ana gabatar da Shirin Duniyar Wasanni akan batutuwa daban-daban da suka shafi wasanni a sassan duniya.
  continue reading
 
Artwork

1
What the RFI?

Matt Brennan

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly+
 
Join Matt Brennan, Assoc. AIA as he discusses the day-to-day life in the Contract and Construction Administration world. This podcast bridges the gap between Architects, Designers, Engineers, consultants and General Contractors as they work through Construction Administration (CA) related items. Each episode focuses on the challenges, techniques and technology to help navigate through the fast-paced construction industry. How many RFIs did you get this week?
  continue reading
 
Artwork
 
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
  continue reading
 
Artwork

1
Kasuwanci

RFI Hausa

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly+
 
Shirin yakan duba yadda kasuwanci da tattalin arizikin kasashen duniya ke ciki. Kana yakan ji sabbin dubaru da hanyoyin ci gaban tattalin arzikin na kasashen duniya. Tare da jin ta bakin 'Yan kasuwa da Masana’antu dangane da halin da suke ciki.
  continue reading
 
Music, interviews, quirky listener essays ... you never know what you'll be served up on the Sound Kitchen where Susan Owensby is cooking. And remember, you can find the Sound Kitchen on Facebook.
  continue reading
 
Kawo al’adu na zamani da wadanda suka shude daga sassan kasashen duniya domin mai sauraro ya san cewa, duniyarmu tana da girma da yawan jama’a masu al’adu daban-dabam. Akwai kuma Shirin al'adunmu na musamman na karshen mako da mu ke gabatarwa a ranakun Asabar da lahadi.
  continue reading
 
Shirin Mu Zagaya Duniya na duba Wasu Muhimman Labarai da suka ja hankalin Duniya a cikin mako. Ana gabatar da shirin ne a ranar Asabar da safe a kuma maimaita ranar Lahadi da daddare.
  continue reading
 
Produced by global FS intelligence specialist, RFI Global, this podcast is focused on key trends, market insights, thought leadership and best practice within the fast growing and dynamic world of digital banking.
  continue reading
 
Artwork

1
Wimbi la Siasa

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly+
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
  continue reading
 
Artwork
 
Shirin Lafiya Jari ce na tattaunawa da likitoci da mahukunta a game da kiyon lafiyar jama’a, sanin sabbin magunguna da binciken kimiya ya samar. Ana gabatar da shirin a ranar Littinin da hantsi, tare da maimaici a ranar Jumma'a da safe.
  continue reading
 
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
  continue reading
 
Artwork

1
Gurudumu la Uchumi

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly+
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
  continue reading
 
Artwork

1
Siha Njema

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
  continue reading
 
Artwork

1
Jua Haki Zako

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
  continue reading
 
Learn French Online with our Interactive French Podcast for All Levels. Our comprehensive French course features weekly episodes with real French news, essential French grammar, and practical French expressions. Listen, read, and then join a French conversation in our live practice Rooms! The News in Slow French format is perfect for intermediate French learners. With shorter episodes also available for Beginner French students and in-depth content for Advanced French, too. It's like French ...
  continue reading
 
Artwork

1
Muziki Ijumaa

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
  continue reading
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
  continue reading
 
Wannan Shirin ya shafi Fadakar da al'umma game da ci gaban da aka samu a sha'anin Ilimi a fannoni daban-daban na duniya, tare da nazari kan irin ci gaban da aka samu wajen binciken kimiya da fasaha da ke neman saukakawa Dan’adam wajen tafiyar da rayuwarsa a duniya. Shirin kuma zai yi kokarin jin irin bincike da masana ke yi domin inganta rayuwar Bil’Adama. Shirin na zo maku ne, a duk ranar Talata a shirye-shiryenmu na safe, a ku maimata ranar Alhamis.
  continue reading
 
Artwork

1
Mjadala wa Wiki

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
Artwork

1
Talisman Brisé

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
  continue reading
 
Artwork

1
Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly+
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
  continue reading
 
In a block of flats in Paris a small group of neighbours enjoy friendly relations. Billie, a young foreign student is welcomed by Rosa, the doyenne of the group. She gets to grips with life in Paris with Zirek, a private car hire driver, Amir, a young florist from Afghanistan, Diane, Pierre and their three children. Les voisins du 12 bis, a bilingual radio story in 13 episodes for immersive listening to learn French in everyday situations.
  continue reading
 
Artwork

1
Africa Calling

RFI English

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Africa Calling is a twice-monthly podcast taking a more in-depth look at current events in Africa, with sound-rich feature reports covered by our correspondents in the field. African voices, African correspondents.
  continue reading
 
Opiniões de especialistas sobre pesquisas, avanços e descobertas em todas as áreas científicas e tecnológicas, da medicina, espaço e bioética ao high-tech, redes sociais e comunicação multimídia.
  continue reading
 
Artwork
 
Paris is a hub for musicians from all over the world. Our weekly show is a forum for sharing that music, and exploring its emotional impact. World Music Matters is hosted by RFI's Alison Hird.
  continue reading
 
Artwork

1
Dandalin Siyasa

RFI Hausa

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Shirin Dandalin Siyasa, yana tattaunawa tare da tafka muhawar kan al’amurran siyasa da ke faruwa a kasashen duniya, da batutuwan da suka shafi al’umma kai tsaye, wanda Bashir Ibrahim Idris ke jagoranta. Wannan Shirin na zuwa ne a karshen mako Ranar Assabar da maimaci a ranar Lahadi a Shirye Shiryen Safe da Yamma.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Karibu katika Makala haya ya kwanza kabisa mwaka mwaka 2026, changu chako chako changu, nikutakie heri ya mwaka mpya. Kumbuka makala haya hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea pongezi za mwaka mpya kutoka kwa watangazaji wenzangu hapa RFI Kiswahili. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako…
  continue reading
 
Makala hii ya habari rafiki rafiki ijumaa ya desemba 26 2025 ni siku ya mada huru; tunakupa fursa kuchangia suala lolote ambalo limejiri nchini mwako wiki hii. Unaweza pia kuzungumzia kile ambacho umekisikia kwenye matangazo yetu ya redio juma hili. Nahodha wa Habari Rafiki Ruben Lukumbuka, moja kwa moja kutoka Studio maridai namba2.…
  continue reading
 
Katika awamu ya kwanza tuliangazia miaka kumi ya mkataba wa tabianchi wa Paris na ahadi mpya za kitaifa NDCs. Awamu ya pili na mwisho tunaendelea kuangazia mkutano wa tabianchi COP30 uliofanyika jijini Belem, Brazil, pamoja na mkutano wa saba wa kimataifa wa mazingira UNEA-7 uliofanyika jijini Nairobi kati ya Disemba 8 na 12 ùwaka wa 2025.…
  continue reading
 
A wannan makon shirin tare da Azima Bashir Aminu ya mayar da hankali kan fitar wasu sabbin alƙaluman hukumar NCDC masu tayar da hankali matuƙa da ke nuna yawaitar ɓullar cutar ƙyanda ko kuma baƙon dauro dama ƙaruwar mutanen da take kashewa a sassan Najeriya. Shiga alamar sauti domin sauraron cikakken shirin.......…
  continue reading
 
Leo tunajadili kwa undani kauli ya kocha wa Afrika Kusini, Hugo Broos kuwa michuano ya mwaka huu haina mvuto na msisimko kama Afcon zilizopita. Uchambuzi wa mechi za jana na leo kwenye hatua ya 16 bora - Tanzania vs Morocco, Afrika Kusini vs Cameroon, DRC vs Algeria. Hatua ya serikali ya Gabon kuvunjilia mbali timu ya Gabon huku marais wa Msumbiji …
  continue reading
 
After years of negotiations, the Turkish military may finally be close to acquiring American F-35 fighter jets. United States President Donald Trump has suggested a deal could be near, despite Israel warning that the sale would threaten its security amidst rising tensions with Turkey. “We’re thinking about it very seriously,” Trump said when asked …
  continue reading
 
Leo tumeangazia kwa undani matokeo na matukio ya hatua ya makundi iliyokamilika kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea Morocco, uchambuzi wa hatua ya 16 bora - nani atafuzu robo fainali?, tathmini ya hatua ya serikali ya Gabon kuvunja kabisa timu ya taifa ya Gabon, ahadi za pesa kutoka kwa marais kadhaa Afrika kwa timu zao kuele…
  continue reading
 
This week on The Sound Kitchen you’ll hear our annual listener New Year’s Resolution show, co-hosted by my daughter Mathilde (as always!) There’s plenty of good music, too, to keep you in the holiday mood. Just click on the “Play” button above and enjoy! Hello everyone! Welcome to The Sound Kitchen weekly podcast, published every Saturday – here on…
  continue reading
 
Makala hii imeangazia namna dunia ilivyoukaribisha mwaka mpya wa 2026, kampeni za uchaguzi wa mwezi huu nchini Uganda kushika kasi, siasa za Kenya: kiongozi wa chama cha ODM atangaza kuwa atagombea kiti cha urais mwaka ujao, hali ya mashariki mwa DRC, Israeli kulitambua eneo la Somaliland kama taifa huru,nchi kadhaa za Afrika zatangaza kuwazuia rai…
  continue reading
 
Nous commencerons la partie du programme consacrée à l'actualité en parlant d'une tendance inquiétante : le net recul des droits des femmes en Israël. Notre deuxième sujet sera consacré à une nouvelle génération de chatbots générés par intelligence artificielle, qui incarnent Jésus et offrent des conseils spirituels et un soutien en ligne. Dans not…
  continue reading
 
A Najeriya, gobe alhamis 1 ga watan Janairu, za a fara aiwatar da sabuwar dokar haraji ta ƙasa, a cikin yanayi da dokar ke shan suka saboda dalilai da dama. Yayin da jama’a ke cewa sabon tsarin karɓar haraji na matsayin ƙarin nauyi ne ga al’umma, hakazalika wasu ƴan majalisa sun yi zargin cewa abin da suka amince da shi ya sha bambam da abin da gwa…
  continue reading
 
Loading …
Copyright 2026 | Privacy Policy | Terms of Service | | Copyright
Listen to this show while you explore
Play