Hizi Ndio Sehemu Salama Zaidi Za Kutunza Data Zako Mtandaoni
Manage episode 386942983 series 3532922
Je unawaza ni sehemu gani salama ya kutunza na kuhifadhi taarifa zako na rahisi kufikika pale unapozihitaji?. Katika Episode hii, tumekuletea SITES na APPS bora unazoweza kulinda na kuhifadhi data zako kwa usalama zaidi na rahisi kuzipata pale utakapozihitaji. Chukua muda wako na sikiliza hii;
27 episodes